Matukio

Benki Kuu ya Tanzania kama Sekretarieti ya Baraza la Taifa la Huduma Jumuishi za kifedha huendesha na kushiriki kwenye vikaokazi, mikutano na semina ikishirikiana na wadau mbalimbali wenye wajibu wa kutekeleza Mpango Mkakati wa Taifa wa Huduma Jumuishi za Fedha.

.....