Noti na Sarafu za Kumbukumbu (numismatics)

Benki Kuu ya Tanzania hutoa Noti na Sarafu maalum kwa ajli ya kumbukumbu za matukio muhimu ya kitaifa. Sarafu hizi huuzwa au kutolewa kama zawadi wakati wa matukio hayo. Pia, sarafu za kumbukumbu zinahitajika sana na watu wanaokusanya sarafu. Mifano ya Sarafu za Kumbukumbu zimeonyeshwa katika kiunganishi hiki (Commemorative Coins).

SN Mbele Nyuma Series Maelezo
1 2014. Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar
2 2011. Miaka Hamsini ya Uhuru wa Tanganyika
3 1984. United Nations decade for women
4 1991. Miaka 25 ya Benki Kuu ya Tanzania
5 1985. Miaka 24 ya kuongoza Tanzania huru
6 1981. Miaka 20 ya Uhuru wa Tanganyika
7 1986. Miaka 20 ya Benki Kuu ya Tanzania