Malengo ya Usimamizi wa Mabenki

Kwa mujibu wa kifungu cha 5 cha Sheria ya Mabenki na Taasisi za Fedha, 2006, malengo makuu ya usimamizi na udhibiti wa benki na taasisi za fedha ni:

    • Kuendeleza uthabiti, usalama na ufanisi wa sekta ya fedha;
    • Kupunguza uwezekano wa wenye amana kupata hasara; na
    • Kuendeleza haki katika uhusiano wa benki na mteja.